Picha
mbalimbali zikiwaonesha NKMZ Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru
Magharibi Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani
Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana (juzi) kwenye Uwanja
wa Azimio, ikiwa ni sehemu ya operesheni ya mafunzo kwa viongozi
kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali. |