Waziri
Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo,
kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)