Brazil ndio walikuwa wa kwanza
kupata goli kwenye dakika za kawaida (90’) kupitia kwa Robinho
aliyeifungia timu yake dakika ya 15 kipindi cha kwanza akiunganisha
krosi maridadi aliyogongewa na beki wa pembeni wa FC Barcelona Dani
Alves na kuipa timu yake matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo
mikubwa kwa ngazi ya mataifa huko bara la America ya Kusini.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment