JAJI MSTAAFU AUGISTINO RAMADHANI KUKAMILISHA IDADI YA 37 KUCHUKUA FOMU LEO.
Jaji mstaafu Augustini Ramadhani leo anatarajiwa kuchukua fomu ya urais na kufikisha idadi ya watu 37 waliochukua fomu ya kuwania nafasi hiyo moja ya urais.Sifa pekee ya mgombea huyu ni kuwa jaji ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu nchini Uholanzi.