Record mpya zinatoka kila siku, kwenye zile zinazonifikia zipo ambazo na mimi naamua kukusogezea pia !! Unajua nchi inayoongoza kwa amani na utulivu? Na unajua nchi inayoongoza kwa kuwa na vurugu nyingi?
Kuna nchi tunazisikia kila siku kwamba kuna vita na machafuko, na kuna nchi ambazo hizo stori hata huzisikii kabisa!!
Hapa nina list ya nchi kumi ambazo zimetajwa kuwa zinaongoza kwa machafuko
Na hizi ndio nchi kumi zilizotajwa kuwa zina amani na utulivu zaidi
Haya ni majibu kutoka kwenye Ripoti Global Peace Index… Unaonaje mtu wangu, TZ ilitakiwa kuwa upande gani hapo?