Home > Untagged WIZARA YA MAJI YATAMBA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA WIZARA YA MAJI YATAMBA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wafanyakazi wa Wizara ya Maji wakiwa wameshika vikombe vya ushindi katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kilichofanyika leo tarehe 23/6/2015 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Wizara ya Maji imekuwa Mshindi wa Kwanza katika kutekeleza masuala ya UKIMWI Mahala pa Kazi. Wizara pia imekuwa mshindi wa Pili katika Masuala ya Jinsia. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari Athuman Shariff , akipokea kikombe cha Ushindi kutoka kwa Mgeni Rasmi, Rais. Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Alli Hassan Mwinyi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja. 13:05:00