https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MANCHESTER UNITED YAUA TENA MAREKANI….

    2ABDDC7000000578-3170291-image-a-3_1437539570024
    Manchester United imeshinda 3-1 katika mechi yake ya  pili ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya San Jose Earthquakes.
    Magoli ya United kwenye mechi hiyo yamefungwa na  Juan Mata (32), Memphis Depay (37) na Andreas Pereira (61).
    Bao pekee la kufutia machozi  kwa wenyeji limetiwa kambani na Fatai Alashe dakika ya 42.
    Man United captain Wayne Rooney jumps above San Jose defender Victor Bernardez to win the ball in the air during the first-half
    Rooney (kulia) akichuana vikali  
    Morgan Schneiderlin plays a pass during his second Manchester United appearance following his move from Southampton 
    Morgan Schneiderlin  naye alionesha uwezo wake tena…
    VIKOSI VYA TIMU ZOTE
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAUA TENA MAREKANI…. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top