Baada ya kupangwa kwa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA)
siku kadhaa nyuma, September 15 na 16 ni siku ambazo michezo ya hatua
ya makundi ya mechi hizo zitaanza kupigwa. Kama kawaida muda wa michuano
hiyo haujabadilika upo kama tulivyozoea mechi zote za September 15 na
16 zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
Hii ni ratiba ya mechi za September 15
Kundi A
- Paris Saint Germain Vs Malmoe FF
- Real Madrid Vs Shaktar Donetsk
- PSV Eindhoven Vs Manchester United
- Wolfsburg Vs CSKA Moscow
- Benfica Vs FC Astana
- Galatasaray Vs Atletico Madrid
- Manchester City Vs Juventus
- Sevilla Vs Borussia Moenchengladbach
Kundi E
- Bayer Leverkusen Vs BATE Borisov
- Roma Vs FC Barcelona
- Dinamo Zagreb Vs Arsenal
- Olympiakos Vs Bayern Munich
- Chelsea Vs Maccabi Tel Aviv
- Dynamo Kyiv Vs FC Porto
- Gent Vs Lyon
- Valencia Vs Zenit St Petersburg


0 comments:
Post a Comment