RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI
Balozi
mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati
ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
Balozi
mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya
utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
Balozi
mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente
akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment