Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Mhandisi Felchesm Mramba
amesema makali ya tatizo hilo kwa kiasi fulani yamepunguzwa kutokana na
kupatikana kwa nishati ya gesi ambapo pia jumanne ya wiki hii
wamefanikiwa kuwasha megawati 30 kutoka kampuni ya Simbioni.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment