Teknolojia inaruhusu sasahivi kukutana
na mambo mapya makubwa na yenye records nyingi kwenye headlines.. kila
kitu kinabadilika, na kama ni kizuri lazima kikinifikia na mimi
nakusogezea pia.
Mzigo umeletwa na jamaa wa Las Vegas Marekani,
kuoneshwa na wataalam wa kutengeneza drones, ziko camera siku hizi
zinaruka juu zinarekodi video, zinapiga picha poa kabisa… imekuja taxi
ya juujuu, haina dereva, abiria ni mmoja tu anaingia na kuna vitu
vichache tu anaweza kuvifanya safari yake ikawa salama kabisa mpaka
anafika.
Hii ni screen ambayo iko ndani ya drone ambayo abiria akiingia anabonyeza kuonesha kituo ambacho anaenda.
E Hang 184 inaweza kusafiri kwa muda wa kama dakika 23 hivi na hata ikiisha chaji inaweza kujaa full kwa saa mbili tu !!
Video hii hapa mtu wangu, mambo yamesogea mpaka huku mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment