https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Dubai kwenye mpango mpya utakaovunja rekodi ya dunia

    Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai  umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa mapato na ni mfano ya mji ambao Uongozi wake unafanya kazi kwa kuwa baada ya miaka 25 macho ya Dunia nzima yamehamia Dubai.
    Dubai wameelezea mipango yao zaidi kwenye mji huo ambapo maeneo ya makazi mapya, Dubai Creek Harbour yatauzunguka mjengo mrefu ambao bado haujapatiwa jina lakini nickname yake ni ‘the needle‘. Mjengo huo utakuwa mrefu kuzidi uliopo wa Burj Khalifa  wenye 2,717 ft na umepangwa kujengwa 2020.
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Dubai kwenye mpango mpya utakaovunja rekodi ya dunia Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top