https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mwenyekiti wa UVCCM afikishwa mahakamani kwa kughushi nyaraka za Serikali

    DSC_5977 - Copy.JPG

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndg. Lengai Ole Sabaya amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na makosa mawili ya kughushi nyaraka za serikali (vitambulisho vya usalama wa taifa) na kuzitumia kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu (utapeli).

    Hata hivyo Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Gwantwa Mwankuga amemuachia mtuhumiwa kwa dhamana ya Shilingi Milioni 6, ambapo wadhamini wawili wametoa hundi shilingi milioni 3 kila mmoja. Kesi hiyo imehairishwa na itasililizwa tena October 5 mwaka huu.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mwenyekiti wa UVCCM afikishwa mahakamani kwa kughushi nyaraka za Serikali Rating: 5 Reviewed By: news
    Scroll to Top